Monday, 21 January 2013

Watakaoamua nani agombee kwa Tiketi ya CCM

Rais Jakaya Kikwete aliposema serikali yake si ya ubia hakudanganya. Kwa kuangalia madhambi 
 aliyotendwa na hawa jamaa watatu bila kushughulikiwa, ni kwamba serikali ya Kikwete ni mfukoni mwa hawa jamaa watatu. Wapo waliodhani kuwa Kikwete angewashughulikia wasijue kuwa angewagusa wangetoboa siri za uchafu wake na kumwangusha hata kumwajibisha wao wakiendelea kutesa.  Ziko wapi ngebe za kujivua gamba ambazo ziliishia kuwa wito wa kuvaa gamba tena nene? Hivyo  msishangae hawa watatu watakapoamua nani awe mgombea wa CCM kwenye uchaguzi ujao.

No comments: