Tuesday, 22 January 2013

Kama samani zetu zina thamani za nje mwanunua za nini?

a2Kama sanani zetu zina thamani, kwanini wakubwa wanapenda kununua samani nje? Hapo juu rais Jakaya Kikwete akimpa zawadi ya sanduku la kiswahili rais wa seneti ya Ufaransa, Jean-Pierre Bel huko Paris hivi karibuni. Kujua huu ulivyo unafiki GONGA hapa uone inachofanya serikali ya huyu huyu anayejifanya kutangaza samani zetu wakati serikali yake inanunua samani nje kwa bei mbaya.

No comments: