Monday, 13 January 2014

Alexandre-Ferdinand Nguendet rais mpya wa CAR

Alexandre-Ferdinand Nguendet ameteuliwa kuchukua mikoa ya rais wa mpito wa Central African Republic (CAR) Michael Djotodia. Nguendet anaingia madarani CAR ikiwa kwenye mparaganyiko kulhali. Tunamtakia kila la heri na aweze kurejesha utulivu katika taifa hili maskini sana barani.

2 comments:

Anonymous said...

Siyo tena mvinyo katika chupa mpya tena....Jamaa!!!!! Kama wanajisemea watani zangu Watu wa kabila waruguru Mlogoro(Morogoro)

NN Mhango said...

Tumpe muda tuone kama ni nyani wale wale na msitu ule ule au vipi?