Friday, 24 January 2014

Malima kihiyo mwingine Hazina

Angalia CV ya Adam Malima aliyeweza kufanya MSc (Economics) 

baada ya kumaliza kidato cha nne.

Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourable
First Name: Adam
Middle Name: Kighoma Ali
Last Name:Malima
Member Type:Constituency Member
Constituent: Mkuranga
Political Party: CCM
Office Location: P.O.Box 2000, Dar es Salaam
Office Phone: +255 784 612 020/+255 713 612 020
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: amalima@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 26 June 1966
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
University of Hauana (Cuba)MSc. (Economics)19841989MASTERS DEGREE
University of London (SOAS)MSc. (Econ)19941995MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)Post Graduate Diploma (Econ)19931994POSTGRADUATE
Shaban Robert Secondary SchoolO-Level Education19791982SECONDARY
Upanga Primary SchoolPrimary Education19721978PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
Ministry Of Finance and EconomicDeputy Minister Of Finance and Economic2014-01-202015
Ministry Of Food and AgricultureDeputy Minister Of Food and Agriculture20122014-01-20
Private ConsultantsBusiness Consultant20022005
Ministry of Energy and MineralsDeputy Minister2/13/2008
Pwani Finance Business ConsultantsConsultant1996-
Bank Of Tanzania (BOT)Financial system19901996

8 comments:

Jaribu said...

Hainishangazi sana kwa sababu aliyempa uwaziri naye ni Kihiyo. Kwa hiyo ilimchukua "Mheshimiwa" Malima mwaka mmoja kufanya Masters yake ya kwanza na miaka mitano kufanya Masters yake ya pili, somo hilo hilo la uchumi. Hana tofauti na bosi wake aliyepata shahada yake ya kwanza ya "Business Study" kutoka chuo kisichojulikana. Nchi itaokoka kweli?

NN Mhango said...

Very interesing obsevation. Masters ya kwanza mwaka mmoja lakini ya pili miaka mitano! Du! Kweli Bongo sasa taifa la wasanii.

Mpenda Nchi said...

"Mteuzi" keshajichokea kutumia "common sense" kabisa. Sasa ni kutumia "Common NONsense" tu. Kwa kifupi ndiyo hivyo....

Hata kama "akili ya kuambiwa, changanya na ya kwako....", basi aliyoambiwa tangu mwanzo (kama aliambiwa) yote hakuna la akili hata moja.

NN Mhango said...

Anon hapo juu umenichekesha. Kuna jamaa wakimwita Mr Ziro. Mwanzoni nikidhani wanamkosea adabu kumbe ziro kweli kweli. Huenda hana muda kwa vile huwa anawahi ndege kwennda kuweka rekodi ya kuzunguka dunina na kutumia kodi za wachovu atakavyo.

Jaribu said...

Naona Mhango ulifikiri huyu jamaa tunamuonea. Mimi nilikuwa nampa "benefit of doubt" mpaka nilivyoona anafagilia udakta wa kuzawadiwa na waziri mzima anahongwa suti. Hapo ndio nikamuona kuwa ni mtu wa ovyo ovyo tu.

Naomba kwa kuweka hii joki, sitafanya tena lakini hii sikuweza kujizuia, labda utakuwa ushasikia.

President Kikwete was exchanging a
Word with the Queen of
England.......
"Your Majesty, how do you run
such an efficient government?
Are there any tips you can give
me?"
"Well," said the Queen
"The most important thing is to
surround yourself with intelligent
people."
Kikwete frowned, and then asked,
"But how do I know if the people
around me are really intelligent?"
The Queen took a sip of
champagne.
"Oh, that's easy; you just ask them
to answer an intelligent riddle,
watch"
The Queen pushed a button on her
intercom.
"Please send Tony Blair in here,
would you?"
Tony Blair walked into the room
and said,
"Yes, your Majesty?"
The Queen smiled and said,
"Answer me this please Tony.
Your mother and father have a
child.
It is not your brother and it is not
your sister.
Who is it?"
Without pausing for a moment,
Tony Blair answered…
"That would be me."
"Yes! Very good." said the Queen.
Kikwete went back home to ask his
Excellency Pinda the same
question.
"Pinda, answer this for me."
"Your mother and your father have
a child.
It's not your brother and it's not
your sister.
Who is it?"
"I'm not sure," said Pinda.
"Let me get back to you on that
one."
He went to his advisors and asked
everyone, but none could give him
an answer.
Frustrated, Pinda went to work in
parliamentary gym and saw Zitto
Kabwe there.
Pinda went up to him and asked,
"Hey Zitto, see if you can answer
this question."
"Shoot Pinda."
“Your mother and father have a
child and it's not your brother or
your sister.
Who is it?"
Zitto Kabwe answered,
"That's easy, it's me!"
Pinda smiled, and said, "Good
answer Zitto!"
Pinda then, went back to speak
with President Kikwete.
"Say, I did some research and I
have the answer to that riddle."
"It's Zitto Kabwe!"
Kikwete got up, stomped over to
Pinda, and angrily yelled into his
face,
"No! You idiot! It's Tony Blair!"

Jaribu said...

Nilikuwa naamanisha niwie radhi kwa kukujazia ukurasa wako kwa hiyo joki.

NN Mhango said...

Hakuna tatizo kwani umetoa darasa friend. Siku moja I will make something big from this joke. Who knows?

NN Mhango said...

Kweli mpenda nchi unaipenda nchi yako. Maana hayo maoni yako sina la kuongeza.