Wednesday, 29 January 2014

Kibonzo hiki kimenikumbusha ajali niliyopata


Miaka kama mitatu iliyopita nilinusurika ajali ambayo ilifanana kidogo na hii. Hivyo kibonzo hiki kimenirudisha nyuma miaka mitatu kiasi cha kunikumbusha kuwa nimshukuru Mungu zaidi kwa kunipa salio zaidi vinginevyo ningekuwa past tense.
 Hii chini ni ajali yenyewe.

3 comments:

Jaribu said...

Ishapita miaka mitatu? Pole sana! Mimi nilishapata ajali nyingi sana lakini siyo serious kama ya kwako.

NN Mhango said...

Jaaribu usishangae. Nkwazi Jr aliyezaliwa baadaye mbona anakimbiza miaka miwili kwa sasa ukiachia Nkuzi aliyekuwa na miezi michache kuikimbiza minne.

Yasinta Ngonyani said...

Aise tayari miaka mitatu ishapita..haya iliyobaki ni kumshukuru Mungu wetu.