Friday, 17 January 2014

Imekaaje hii?

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hapo sasa...ni simba huyo au?

NN Mhango said...

Da Yacinta karibu tena. Ni simba kweli kweli ambaye nyinyi humuita ngwenyama kama sikosei na kama kamusi yangu ya Nguni inafanya kazi.

Yasinta Ngonyani said...

Mmmmh ngwenyama ...usemapo "Nyinyi" unamaanisha nini? hili jina ndo kwanza nalisikia kwangu anaonekana kama simba tu...Ila binadamu wana vituko mpaka kumfunza mnyama kucheza? Najiuliza kwa sauti hivi hakuna binadamu wa kucheza naye?

NN Mhango said...

Nilimaanisha wanguni au tuseme wazulu waliokimbia sauzi. Mbona kuna mwingine anawafuata porini na kuwatisha achia mbali hawa wa kufugwa. Ngoja niitafute nitaitundika.

Yasinta Ngonyani said...

Haya Mwal..Nimekuelewa sisi Wangoni..ila bahati mbaya sijawahi kusikia jina hilo nitafanya utafiti...Ahsante ..