Friday, 31 January 2014

Hii ya Masoud kwa Mkuya nimeipendaChanzo: Mwananchi Jan., 31, 2014.

Source: The Guardian IPP Jan., 31, 2014.

2 comments:

Anonymous said...

Uwaziri ni cheo, au ni njia mojawapo ya muda mfupi kupata suluhisho la kipato, Na kamwe hatutaki kufikiria au ni ukosefu wa maarifa ya kitaalamu kuweka mikakati ya muda mrefu kwenye suala uhakika wa kipato endelevu miongoni mwetu sisi!?

NN Mhango said...

Kwa wenzio kipato ni halali yao tu na si wachovu wala nini. Wakishapata kura zenu ndo hivyo wanawasahau kama ganda la muwa.