Monday, 13 January 2014

Breaking news!!! Hashim Saggaf afariki dunia leo

 Hashim Saggaf  (Pichani juu) mbunge wa zamani wa Dodoma Mjini CCM hatunaye tena. Taarifa toka kwa jamaa wa  marehemu zinadai Saggaf amefariki japo hazikwenda kwenye undani wa nini kilisababisha mauti yake. Tunaipa pole familia ya marehemu.

No comments: