Friday, 10 July 2015

Je Mwananchi wana mtu wao au?

  Ukiona mzee Pombe Makufuri alivyotuna katikati ya wote unaanza kuona nani atapeperusha bendera ya mafisadi. Hata hivyo , ukiwapiga darubini tano bora unaona wazi kufilisika, kuisha na kuishiwa kwa CCM. 

2 comments:

Anonymous said...

SASA wewe watu wote hua mafisadi? Fungua macho mwalimu mhogo

NN Mhango said...

Anon hujakosea. Hata hivyo sijasema wote ni mafisadi au la.Nilichomaanisha ni kwamba wanaweza kuwapo wasafi wakachafuliwa na chama ambacho ni fisadi. Hebu jaribu kujikumbusha Ben Nkapa.