Tuesday, 28 July 2015

Lowassa ni jembe au janga kwa UKAWA?

2 comments:

Anonymous said...

kaka nimekuwa napitia pitia huku, nisikie maoni yako, naona unasita kama mimi.
Lakini naona ni sawa tu kwa sasa hivi, japokuwa kuna mambo mengi ya utata, ni afadhali kumsimamisha walau anaweza kuboost number ya wabunge bungeni.

NN Mhango said...

Anon usemayo ni kweli. Bado natafakari. Hata hivyo wakati ukifika lazima niseme na kutoa tathmini yangu. Nangoja kusikia nani atakuwa mgombea wa UKAWA.Kama atakuwa Lowassa wamenoa wote. Kama atasema MGOMBEA WA UPINZANI TOSHA kama Raila Odinga waziri mkuu wa zamani wa Kenya alivyofanya, ujio wa Lowassa kwenye upinzani utakuwa neema na baraka. Kama atang'ang'ania asimame mwenyewe basi ujio wa Lowassa utakuwa laana ya milele kwa upinzani. Angejifunza kwa Mrema na alivyoua NCCR-Mageuzi kwa upogo na tamaa zake. Lowassa atasababisha balaa kubwa maana atakuwa amezamisha vyama vinne kwa mpigo.