Saturday, 22 August 2015

Kujiondoa CCM Sumaye mwanzo wa mwisho?

  • Edward Lowassa na Frederick Sumaye

Taarifa tulizo nazo ni kamba waziri mkuu mwingine wa zamani Fredrick Sumaye amefanya maamuzi magumu na kujivua gamba. Kwa mujibu wa vyombo vya habari, Sumaye kujiondoa CCM si fununu wala uvumi tena. Laiti na akina Jaji Augutine Ramadhani, Dk Augustine Mahiga, Ali Karume na wengine walioona kama hawakutendewa haki wangechukua maamuzi magumu, hakika huu ungekuwa mwisho wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Je kuondoka kwa Sumaye ndiyo mwanzo wa mwisho wa CCM? 

No comments: