Patience Dabany ni mama wa rais wa sasa wa Gabaon Ally Omar Albert Bongo Ondimba na mke wa rais Omar Bongo Ondimba. Alikuwa first lady kwa takribani miaka 30 kabla ya kuachika na kujiingiza kwenye muziki. Amepiga nyimbo nyingi na anaendelea kupiga muzika kama kawaida. Anasema muziki umo kwenye damu yake. Kwani baba yake alisifika kwa upingaji ngoma na mama yake alikuwa muimbaji.
No comments:
Post a Comment