Friday, 15 July 2016

Wiki hii niliwarusha makamanda wangu

Picha ya familia ya pamoja wakati makamanda na baba yao wakijiandaa kupasua anga 
Baba anaposhika usukani huku makamanda wakiwa nyuma yake wakijifunza namna ya kuendesha ndege
Picha na Makamanda baaada ya kushuka chomboniTulitumia ndege aina ya 1966 Piper Cherokee. Ni ndege nzuri japo ya kizamani. Hali ya hewa ilikuwa nzuri sana kiasi cha kutokumbwa na misukosuko kama ilivyo kawaida ya ndege ndogo.  Kama baba yao, makamanda wanapenda sana ndege kiasi cha kuwa usumbufu. Hivyo, kila nikipata fursa, nitakuwa nikiwapa ride  japo nao waanze kufuata nyayo mapema.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kaka...hata taarifa nami shangazi yao ningejumuika☺. Kwa kweli inapendeza sana maana katika maisha familia ni mstari wa mbele..NIMEPENDA SANA HII

NN Mhango said...

Da yasinta tunashukuru sana na unakaribishwa. Who knows. Huenda siku moja tukajumuika ima Ulaya, Afrika au huku Amerika. Wape hi wapendwa wote na furahia summer yako hasa ikizingatiwa kuwa muda unazidi kuyoyoma.