Saturday, 18 February 2017

Habari njemaJANA rafiki yetu na kijana wetu Sirili Akko Mionntini alliuacha ukapela. Tunafurahi kuwatangazia marafiki na wasomaji wetu kuwa tumepata mwanachama mpya.
Japo hatukuweza kufika Hanang kuhudhuria mnuso, tulisindikiza kitu hii na hii ngoma hapa chini kutokana ukweli kuwa kijana wetu ni mbobezi katika mambo ya utalii.

No comments: