Wednesday, 1 October 2014

IPTL: Kweli kuna urafiki wa paka na panya au ufisadi?

Jizi la IPTL Harbinder  Singh  Sethi akitoa mfano wa cheki ya shilingi 20 milioni kwa  mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa habari za michezo (TASWA). Huyu jizi amekuwa bingwa wa kuhonga kuanzia makanisa, vituo vya polisi nk. Inashangaza   kuona jizi lililoiba mabilioni ya Escrow linamega kidogo kuwapumbaza walafi na wapumbavu wenye kutumia matumbo kufikiri.

No comments: