Friday, 28 September 2012

Hatimaye majeshi ya Kenya yaikamata Kismayo

Satellite map of KismayoHow KDF took KismayuMPs seek buffer zone after Kismayu take over
Habari zilizotufikia ni kwamba ngome kuu ya Al Shabab-Kismayo sasa iko chini ya majeshi ya Kenya pamoja na yale ya kulinda amani ya Umoja wa Afrika. Kuanguka kwa Kismayo laweza kuwa pigo la mwisho kwa kundi la Al Shabab kama siyo mwisho wake. Rais Mwai Kibaki wa Kenya amekaririwa akisema kuwa ushindi wa Kismayo ni game changer au tuseme karata ya mwisho. Je majeshi ya Kenya yataendelea kuikalia Kismayo na hatimaye kuikomboa Somalia? Ni suala la muda.

2 comments:

Anonymous said...

Wataweza kurejesha Amani
Baba yao amefukuzwa kama Mbwa mwitu mmarekani njaa.

Au huna kumbukumbu

Anonymous said...

WADAU DADA ZETU KATIKA FACEBOOK WAMEANZA KUFUNGUKA KUHUSU MAVAZI YASIO NA HESHIMA