Thursday, 20 September 2012

Mama Betty Kaunda hatunaye tena


  • Betty Kaunda  (84) aliyekuwa mke wa rais wa kwanza wa zambia Kenneth Kaunda aliaga dunia jumatano  19, mjini Harare alipokwenda kumwona binti yake. Kifo cha mama huyu kimewastua wengi kutokana na usafi wake na kutopenda kujikweza wala kutumia madaraka ya mumewe kwa faida binafsi. Dunia itamkumbuka Betty kama mama aliyekuwa mfano kwa wengi hasa wake za viongozi wa sasa ambao wanapenda kutumia madaraka ya waume zao kujinufaisha kupitia biashara mbali mbali kama NGO na kutafuta upendeleo kwenye taasisi za kifedha. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

5 comments:

Anonymous said...

Alikuwa anaishi katika dunia ipi
mwanamke pumbaf maskini amefarika maskini lofa

Anonymous said...

tutamuweka katika kumbukumbu ya wanawake malofa katika bara la africa
jigwa wahed

Anonymous said...

Anonymous 17 2 hamna akili wala maana. Yaani mnasifia wizi unaofanywa na wake za viongozi wa sasa? Kweli nyani ni nyani.

Anonymous said...

Ano 17 2 wewe ni mshamba wa mwisho hebu njo mjini Tanzania hakuna wizi bwanaa hao ni wajanja teremka mjini shambbba moja

Asherpmj said...

tutamuweka katika kumbukumbu ya wanawake malofa katika bara la africa jigwa wahed