Thursday, 13 September 2012

Angalia filamu iliyowatibua waislamu

Ingawa kuna watu wataona kama ni jambo baya kuweka filamu hii, blog hii haishikamani na upande wowote. Tumeamua kuweka filamu hii ili kutoa fursa kwa wasomaji wetu waamue wenyewe kutegemea na ukweli wanaoujua badala ya hisia. Hivyo ni jambo lisiloingia akilini kuwanyima wasomaji uhuru wa kujionea na kuamua wenyewe. Kwa njia moja au nyingine hili linaweza kuwakwaza hata kuwakera baadhi ya wasomaji wetu. Hata hivyo, hatuna jinsi bali kuuleta ukweli kama ulivyo ili wasomaji wetu waamue wenyewe. Tunaamini kuwa wasomaji wetu ni watu weledi wenye uwezo wa kuona jambo na kulipima. Hivyo hatuwezi kuwanyima haki hii. Huu ndiyo ukweli na ukweli huweka huru. Kuutafuta na kuujua ukweli una gharama zake. Mojawapo ni kukereka au kutokubaliana na jambo. Hii ni tabia asili ya welewa na wanadamu.

2 comments:

Anonymous said...

Kamanda Nkwazi mbona tena unakwenda huko kwenye udini
kwani hii blog yako ni ya wakristo au ni kwa wa tanzania wote?

maana huwezi kutiya kitu ambacho kinaudhi jamii na wewe ndo ukapigia debe

ni wazo tuu kamanda wa kikosi cha mizinga
huuu kama sio udini ni kitu gani

Anonymous said...

Dont worry not long to go now. The end shall soon be near. Then we’ll see how muslim haters shal burn in regret. By then it will be too late. The truth is everyone is threatened by islam. Thats why they are trying to change our way of life to distance us from allah. We will win the final war when the ugly one eyed monster is unleashed. Bring it on!!! Everyone knows america is the centre of evil which is why it shall be the first country to perish. Screw the fucking US of America