Tuesday, 4 September 2012

First lady anapomjenga mumewe US wakati kwetu mmmmh!

Tanzania First Lady Salma Kikwete has been active in the areas of public health and ecotourism. Her husband Jakaya was elected chairman of the AU in January of 2008.
Mikutano ya vyama kinzani nchini Marekani inaendelea huku tukiona wake wa wagombea wakiwajenga waume zao. Je kwetu hali ikoje? Wenzetu wanashirikiana kushinda wakati kwetu wanashiriki baada ya ushindi kuanzisha NGO. Je nini mawazo yako kuhusu hili?

1 comment:

Jaribu said...

Wenzetu ni wasomi wenye upeo. Michelle Obama ndiye alikuwa bosi wake mmewe kabla hawajaoana. Sasa huyu Dakta Kikwete na mkewe wanatia huruma, accomplishment-wise.