Saturday, 15 September 2012

Mbwa anapoomboleza tena kuliko binadamu


Mbwa Capitan (pichani) licha ya kufanya kitu ambacho ni nadra kwa wanyama, anaweza kushika kama siyo kuvunja rekodi ya kuomboleza hata kuliko binadamu. Mbwa huyu mwenyeji wa Argentina amekuwa akimuombolezea aliyekuwa amefunga kwa miaka sita tena kwa kukaa karibu na kaburi la marehemu. Ingekuwa kwetu Uswazi wangesema huyu mbwa ni mwanga. Nadhani hii inaweza kufumbua kitendawili cha ni kwanini baadhi ya watu hupenda kufuga mbwa na kuwachukulia kama wana familia hasa kwenye nchi za Ulaya. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

4 comments:

Anonymous said...

wanapenda kufuga mbwa kwa kua na wao wanafikiri kama mbwa hakuna tafauti

Anonymous said...

Anonymous hapo juu,
Je wewe na wao nani anafikiri kama mbwa? Ni swali tu.

Anonymous said...

Soma ufahamu utajuwa kuwa jibu lipo hapo je unafuga mbwa wewe?
naona mbwa wapo wengi tuu au?

Anonymous said...

famili moja ni lazima wafikiri sawa