Thursday, 27 September 2012

Kikwete apewa kitabu atakisoma?


Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa (UN) Kofi Annan akisalimiana na rais Jakaya Kikwete baada ya kumkabidhi kitabu chake. Kwa wanaojua jinsi Kikwete anavyozidi kuua elimu na maadili nchini wanashangaa kama hii ni zawadi au suto. Je Kikwete asiye na muda wa kutulia hata kufanya kazi zake atapata muda wa kusoma hicho kitabu? Kikwete asiye na utamaduni wa kujisomea atakisoma au kukiweka kwenye shelves na huo kuwa mwisho wake? Kikwete rais atokanaye na kizazi kisichosoma wala kutunga na kuandika na kitabu wapi na wapi?

5 comments:

Anonymous said...

Nimepeinda suti ya muheshimiwa Rais

Bonge la suti

Jaribu said...

Labda wasaidizi wake watamrekodia kwenye tape akiwa kwenye safari zake zisizoisha.

Anonymous said...

Rais mwenye Shuguli nyingi.
phD holder daktari, mwalimu, mlezi wa taifa letu,ndugu, Ahhh Rais mwenye huruma,Endelea a kazi ya kuipeleka Tanzania mbele.Hao watachoka wao watakuja na watoto wao pia watachoka.kumpigia Mbuzi gitaa.
Endelea kutuonyesha njia.
nishike mkono Bwana

azan albekry said...

Kweli nishike mkono Bwana yesu nishike mkono.

Anonymous said...

Friday September 28, 2012 - Kirinyaga police officers have arrested a prominent pastor who defiled two under-age girls in his church.

The cleric is said to have lured the girls aged 17 and 16 to his house within the church compound, where he locked them in his bedroom and raped them in turns before beating them badly.

tuletee habari kama hizi bana