Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Sunday, 7 May 2017

Vyuo vya kitapeli vifutwe haraka


            Baada ya zoezi la kuhakiki vyeti feti kukumbwa watanzania wanaokaribia 10,000 bila kuhusisha wafanyakazi kwenye taasisi binafsi na viongozi wengine wa kisiasa wa umma, kuna haja ya kujiuliza maswali mengi mazito na magumu. Je kadhia ya kughushi ilianza lini na kwanini? Je nini dawa yake mbali na kufuta kazi walioghushi au kuwapeleka mahakamani. Nadhani kuna haja ya kwenda mbali na kuangalia mfumo wa kisiasa unaoendesha taifa letu hasa baada ya ufisadi na jinai zinazowezesha watu kutajirika haraka kiharamu bila kushughulikiwa kisheria. Nimekuwa mpenzi na mtetezi mkubwa wa kurejesha sheria ya maadili inayoruhusu serikali kukamata mtu na mali yoyote inayoaminiwa kupatikana kinyume cha sheria. Nimekuwa mpenzi wa kutaka kila mtu mwenye utajiri aeleze alivyoupata na si mtu kulala maskini na kuamka tajiri.
            Leo nitaongelea kadhia ya vyuo feki ambavyo ima vinatoa elimu feki, shahada feki hata picha mbaya kwa watanzania kiasi cha watu kuacha kujipinda na kusoma badala yake wakategemea kupata shahada za chapchap feki na za ubwete. Namna hii hatuwezi kuendelea kama taifa. Lazima turejeshe Tanzania kwenye miaka ya 70 hadi 90 ambapo elimu ilikuwa ndiyo njia ya uhakika katika maisha bora na mafanikio. Turejeshe Tanzania kwenye nyakati za elimu ni ufunguo badala ya ufunguo kuwa madawa ya kulevya, ufisadi, kughushi na jinai nyingine.
            Hivi karibuni nilistuka niliposoma kwenye mtandao kitu kinachoitwa Africa Graduate University ambacho ni chuo kinachoonyesha kila aina ya shaka. Kilichofanya nistuke na kudurusu ni namna chuo husika kinavyofanya mambo tofauti na vyuo vingine na utamaduni wa kitaaluma. Mfano, chuo husika kilikuwa kikitangaza kutoa shahada za juu yaani PhD kama njugu; tena kwa kutumia vigezo vya ajabu kama vile mtu kutunga kitabu au kufanya jambo fulani kwenye jamii na kupewa PhD. Hivi kama mtu anatunga kitabu kimoja hata kiwe cha kitaaluma anapewa PhD, kwa waandishi kama sisi wenye vitabu vingi tu vya kitaaluma na visivyo vya kitaaluma tupewe uprofesa? Kwa kutoa shahada kwa mtu kutunga kitabu ni ushahidi kwa mhusika kuwa hajui maana ya shahada anayotoa na hata anayeipokea kutokana na wote kuwa vihiyo. Huu ni ushahidi kuwa chuo hiki ni cha hovyo na cha kisichojua maana ya kuwa chuo ukiachia mbali kutojua maana na uzito wa PhD. Je kuna biashara inayofanyika nyuma ya pazia kwa wapenda udaktari wa heshima ambao wengi ni wavivu wa kusoma na kusaka elimu? Haiwezekani eti mtu anaendesha NGO ya kawaida anatunukiwa PhD ya heshima (Honoris causa).
            Mkuu wa chuo hicho Profesa Steven Nzowa alikaririwa akisema “tunao watunuku tuzo hizi tuzo za heshima ni watu waliokuwa na umri wa miaka 60 ambao wanafanya kazi za kijamii katika nyumba za ibada kwa zaidi ya miaka 15 na kuendelea na wale ambao umri wao ni miaka 40 hadi zaidi na wenye shahada.” Sijawahi kusikia vigezo kama hivi. Kama vingekuwapo akina Kardinali Polycap Pengo wangekuwa na magunia ya shahada.
            Mtu anafanya shughuli za NGO za uongo na ukweli; anapewa PhD. Hivi hawa wanajua maana na uzito a PhD au ni ujinga unaowasumbua. Baada ya wamilki wa papermills kama hizi kuzitangaza, nilihisi wana baraka toka serikalini jambo ambalo nalo ni ajabu na hatari kwa mustakabali wa taifa.
            Chuo hadi kiwe na hadhi ya kutoa PhD siyo kuwa chuo tu bali lazima kiwe na ithibati na uzoefu na fedha. Kwa waliosoma vyuo vikuu nje ya nchi,  kuna vyuo vingi maarufu lakini havina programs za PhD. Kinachoshangaza ni ile hali na vigezo vinavyotumiwa kutoa hizo PhD hata jina la chuo halina maana kitaaluma. Hakuna kituko kilichoniacha hoi kama kusema eti makao makuu ya chuo hiki yako nchini Sierra Leone. Katika tovuti ya chuo hiki kuna yafuatayo:
CURRENT STATUS: A) National: Today, Africa Graduate University-Sierra Leone with 2,300 to 2,500 students comprises three campuses such as:  i) The College of Professional Studies Freetown Campus( delivering Certified NCTVA & ICM Certificates, Diplomas and Higher Diplomas) ii) The College of Professional Studies Mile 91 Campus (delivering Certified NCTVA Certificates, Diplomas and Higher Diplomas) iii) The Africa Graduate University College Freetown ( delivering online and on-campus Courses in Graduate and Postgraduate levels. Ukiangalia kwa umakini, ni kwamba chuo husika kinatoa vyeti na stashahada lakini si shahada kamili. Kituko zaidi ni pale chuo kinapodai kinatoa masomo ya uzamili online. Hii ni ajabu sana. Sijawahi kusikia wala kuona PhD ikifanyika online na ikawa na ithibati sawa na zile za kusomea darasani.
        Kwanini huko na si hapa? Kwa wanaojua mambo yanayoendelea kwenye baadhi ya mataifa ya Afrika Magharibi, hili pekee litaanza kuamsha mashaka juu ya ithibati ya chuo husika.      Kuna haja ya mamlaka zinazohusika na kusajili vyuo nchini kuwa makini na vyuo vyenye kutia shaka ili kuepuka kuigeuza Tanzania kitovu cha shahada chafu na feki almaarufu papermill.
            Inashangaza watu wazima kiumri tena wanaojiita watumishi wa Mungu kuchezea kitu muhimu kama elimu. Au ni kwa vile haikuandikwa kwenye vitabu vyao vya dini kuwa kuchezea elimu ni dhambi wasijue kusema uongo ni dhambi iliyoanishwa inayoangukia kwenye hiki wanachofanya. PhD hata kama ni ya heshima ina vigezo vyake; na haitolewi kama pipi kama ilivyo kwa hiki kituko kiitwacho Africa Graduate University.
            Tumalizie kwa kuzisihi mamlaka zinazohusika kuchunguza vyuo vya kutia shaka kama hivi ili kuepusha watu wetu kuendelea kutapeliwa na kuamini kuwa wanaweza kupata hadhi ya kitaaluma dezo bila kustahiki wala kuzisotea. Hii nayo ni aina fulani ya kughushi na ufisadi katika elimu. Vyuo vya namna hii vinapaswa kufungwa haraka na wahusika kuchukuliwa hatua kuanzia watoaji na wapokeaji.
Chanzo: Tanzania Daima Jumapili leo.
Posted by Ndugu Nkwazi N Mhango at 08:19

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Cordially and unlimitedly welcome to this blog.


Writing and reading are two different processes but which share the same goal-to educate, communicate and entertain.
It is my pleasure to have you as the guest of this tablet.
I, thus, warmly and always, welcome you to share ideas.
Importantly and eminently, shall there be anything amiss or you think can advance this blog, please donate it.
Allow me to humbly and kindly welcome you once again.
Nkwazi N Mhango- A Man And a Half

When wisdom brings no profit, to be wise is to suffer. Not all thoughts are good and constructive. Others are even worse than bullets. The good thinkers are the ones that think constructively for the manumission of all bin-Adams regardless their diversity. Mwl. Nkwazi N Mhango,
Canada.


Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

I Love My Country Tanzania

I Love My Country Tanzania

The Curse of Salvation

The Curse of Salvation

Gen Z and Internet Revolution

Gen Z and Internet Revolution

I Cry for Ambazonia and Darfur

I Cry for Ambazonia and Darfur

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

The Story of Stories

The Story of Stories

The Chant of Savant

The Chant of Savant

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

Epistle to Afrophobic South Africa

Epistle to Afrophobic South Africa

Magufulification

Magufulification

BORN NUDE

BORN NUDE

Total Pageviews

Heko Rais Magufuli

Heko Rais Magufuli

DECOLONISING EDUCATION

DECOLONISING EDUCATION

Kudos President Magufuli

Kudos President Magufuli

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

The Family Friend of Animals

The Family Friend of Animals
Children's Book

Matembezi Mbuga ya Wanyama

Matembezi Mbuga ya Wanyama
Kitabu cha Watoto

Our Heritage

Our Heritage
Children's Book

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

Perpetual Search

Perpetual Search

Africa's Best and Worst Presidents

Africa's Best and Worst Presidents

Psalm of the Oppressed

Psalm of the Oppressed
Psalm of the Oppressed

AFRICA REUNITE or PERISH

AFRICA REUNITE or PERISH
A new approach towards empowering Africa

BORN WITH VOICE

BORN WITH VOICE

Soul on Sale

Soul on Sale

Soul on Sale

Nyuma ya Pazia

Nyuma ya Pazia

We are one

We are one

SAA YA UKOMBOZI

SAA YA UKOMBOZI

Feel at home

You are always welcome to this epistle again and again time after time, ad infinitum.


Most read Posts

  • Sarkozy’s Take on African Fat Cats a Welcome Move
    At last the chicken are coming home to roost! French authorities made a groundbreaking decision by culling three most corrupt African presid...
  • Napanga kuanza kuuza mitumba na si maneno
    Ingawa mimi si mtumba, napanga kuuza mitumba. Nimechoshwa na jamii ya mitumba. Kila kitu mitumba. Mitumba, mitumba mitupu. Siasa za mitumba...
  • Better or Bitter Life for all?
    When I deeply muse on how an arrogant and brutal cabal of hoity toity (Coverted Con Men (CCM)) is tirelessly hoodwinking and dividing the ho...
  • Africa's Becoming more Despotic and Nepotistic
    "King of Kings" Gaddaffi The seven-day 40th anniversary of Libya strongman’s autocratic rule and charade elections in Gabon where...
  • Kuna siku tutataifisha haya mahekalu haki ya nani
    Taarifa kuwa waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige alinunua nyumba kwa zaidi ya shilingi bilioni moja licha ya kuwastua wananchi na...
  • Nyangumi mdogo akutwa amekufa ufukweni BC
    Hii ni picha iliyotolewa ya Nyangumi aina ya Humpback ambaye alikumbwa na maji na kutupwa kwenye ufukwe wa bahari ya Pasifiki kwenye eneo l...
  • Kikwete, Charity Begins at Home!
    President Jakaya Kikwete Pea...
  • Kweli binadamu si chochote wala lolote, wamkumbuka huyu?
    Walioko madarakani mkiabudiwa kama miungu au sanamu kumbukeni vijana hawa hata baba zao  ambao maiti zao zinaoza jangwani. Ungewaambia...
  • Pinda kulia hakutoshi, awajibike
    INGAWA kilio cha Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda, kinaonekana kuyeyusha hasira za Watanzania kwa muda, kuna haja ya kudodosa zaidi....
  • Hawa si wachungaji bali ni fisi na mbwa mwitu
    KUMEZUKA mtindo mchafu na wa rejareja wa baadhi ya wachumia tumbo na matapeli kumtania hata kumtumia Mwenyezi Mungu kufanya utapeli na ujamb...

Followers

Blog Archive

  • ►  2025 (84)
    • ►  December (1)
    • ►  November (11)
    • ►  October (9)
    • ►  September (7)
    • ►  August (12)
    • ►  July (8)
    • ►  June (7)
    • ►  May (5)
    • ►  April (4)
    • ►  March (6)
    • ►  February (8)
    • ►  January (6)
  • ►  2024 (92)
    • ►  December (7)
    • ►  November (4)
    • ►  October (11)
    • ►  September (9)
    • ►  August (7)
    • ►  July (9)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (7)
    • ►  March (6)
    • ►  February (7)
    • ►  January (8)
  • ►  2023 (118)
    • ►  December (10)
    • ►  November (10)
    • ►  October (9)
    • ►  September (2)
    • ►  August (4)
    • ►  July (6)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (18)
    • ►  March (13)
    • ►  February (9)
    • ►  January (20)
  • ►  2022 (208)
    • ►  December (14)
    • ►  November (14)
    • ►  October (20)
    • ►  September (20)
    • ►  August (12)
    • ►  July (25)
    • ►  June (22)
    • ►  May (18)
    • ►  April (13)
    • ►  March (18)
    • ►  February (18)
    • ►  January (14)
  • ►  2021 (323)
    • ►  December (23)
    • ►  November (34)
    • ►  October (26)
    • ►  September (13)
    • ►  August (19)
    • ►  July (21)
    • ►  June (29)
    • ►  May (25)
    • ►  April (23)
    • ►  March (43)
    • ►  February (29)
    • ►  January (38)
  • ►  2020 (290)
    • ►  December (33)
    • ►  November (37)
    • ►  October (28)
    • ►  September (35)
    • ►  August (31)
    • ►  July (26)
    • ►  June (17)
    • ►  May (21)
    • ►  April (18)
    • ►  March (15)
    • ►  February (17)
    • ►  January (12)
  • ►  2019 (160)
    • ►  December (8)
    • ►  November (7)
    • ►  October (12)
    • ►  September (9)
    • ►  August (27)
    • ►  July (18)
    • ►  June (18)
    • ►  May (11)
    • ►  April (11)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (14)
  • ►  2018 (162)
    • ►  December (12)
    • ►  November (6)
    • ►  October (13)
    • ►  September (10)
    • ►  August (20)
    • ►  July (9)
    • ►  June (14)
    • ►  May (9)
    • ►  April (16)
    • ►  March (21)
    • ►  February (17)
    • ►  January (15)
  • ▼  2017 (306)
    • ►  December (20)
    • ►  November (23)
    • ►  October (20)
    • ►  September (26)
    • ►  August (31)
    • ►  July (31)
    • ►  June (34)
    • ▼  May (26)
      • Forgery is boil but not goosebumps
      • Magufuli: Mwalimu wa maendeleo Afrika?
      • Kijiwe kwenda ikulu kumpongeza rais
      • Magufuli Amtumbua Kamishina Mkuu wa Polisi
      • Graves, Magufuli, mineral sands and Muhongo
      • Makaburi, makinikia, Magufuli na Muhongo
      • Eti Dom ni the big city of Bongo? Wow!
      • Wiki hii nimekumbuka Botswana baada ya Tanzania ku...
      • Leave Tanzania out of Kenya’s upcoming election
      • Nani anakumbuka mauji ya kipumbavu kama ya Mvumi?
      • Kijiwe kukamata mali za mafisadi
      • Handcuffed President: Fall from Grace
      • Kuuawa Lowassa na Magufuli Gwajima achunguzwe
      • Fisi anapochunga kondoo wa Bwana
      • Is Trump’s move an accidental suicide?
      • Magufuli asipuuzie shutuma za Kenya dhidi yake
      • Kijiwe: Wachunaji Wachague Dini au Siasa
      • TPSF mnamuonea Magufuli bure
      • Njaa Inapopanda Kichwani PhD Hugeuka Bullshit
      • Mwakyembe Kukalia Ripoti ya Clouds Ni Kujidhalilisha
      • Kijiwe Chataka Vyeti Vya Wanasiasa Vihakikiwe Pia
      • Vyuo vya kitapeli vifutwe haraka
      • Baada ya kutemwa kwa kughushi: Mlevi kuvamia siasa
      • This Clip Will Offend Anybody That Knew and Loved ...
      • Kughushi: Viongozi wa umma wachunguzwe
      • Kijiwe chastukia zoezi la kuhakiki vyeti vya kibas...
    • ►  April (24)
    • ►  March (20)
    • ►  February (28)
    • ►  January (23)
  • ►  2016 (269)
    • ►  December (22)
    • ►  November (21)
    • ►  October (22)
    • ►  September (15)
    • ►  August (12)
    • ►  July (27)
    • ►  June (24)
    • ►  May (23)
    • ►  April (29)
    • ►  March (26)
    • ►  February (27)
    • ►  January (21)
  • ►  2015 (399)
    • ►  December (34)
    • ►  November (24)
    • ►  October (22)
    • ►  September (34)
    • ►  August (29)
    • ►  July (37)
    • ►  June (22)
    • ►  May (32)
    • ►  April (35)
    • ►  March (46)
    • ►  February (47)
    • ►  January (37)
  • ►  2014 (502)
    • ►  December (47)
    • ►  November (49)
    • ►  October (47)
    • ►  September (37)
    • ►  August (40)
    • ►  July (42)
    • ►  June (30)
    • ►  May (35)
    • ►  April (47)
    • ►  March (44)
    • ►  February (39)
    • ►  January (45)
  • ►  2013 (399)
    • ►  December (37)
    • ►  November (27)
    • ►  October (31)
    • ►  September (26)
    • ►  August (33)
    • ►  July (39)
    • ►  June (28)
    • ►  May (40)
    • ►  April (44)
    • ►  March (39)
    • ►  February (26)
    • ►  January (29)
  • ►  2012 (597)
    • ►  December (27)
    • ►  November (26)
    • ►  October (27)
    • ►  September (30)
    • ►  August (47)
    • ►  July (94)
    • ►  June (86)
    • ►  May (119)
    • ►  April (83)
    • ►  March (23)
    • ►  February (17)
    • ►  January (18)
  • ►  2011 (261)
    • ►  December (20)
    • ►  November (19)
    • ►  October (20)
    • ►  September (21)
    • ►  August (27)
    • ►  July (12)
    • ►  June (15)
    • ►  May (20)
    • ►  April (27)
    • ►  March (32)
    • ►  February (24)
    • ►  January (24)
  • ►  2010 (205)
    • ►  December (25)
    • ►  November (23)
    • ►  October (23)
    • ►  September (23)
    • ►  August (17)
    • ►  July (13)
    • ►  June (12)
    • ►  May (10)
    • ►  April (18)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (16)
  • ►  2009 (163)
    • ►  December (19)
    • ►  November (14)
    • ►  October (11)
    • ►  September (6)
    • ►  August (12)
    • ►  July (9)
    • ►  June (11)
    • ►  May (20)
    • ►  April (22)
    • ►  March (14)
    • ►  February (12)
    • ►  January (13)
  • ►  2008 (191)
    • ►  December (12)
    • ►  November (11)
    • ►  October (14)
    • ►  September (15)
    • ►  August (16)
    • ►  July (23)
    • ►  June (10)
    • ►  May (19)
    • ►  April (16)
    • ►  March (19)
    • ►  February (17)
    • ►  January (19)
  • ►  2007 (33)
    • ►  December (13)
    • ►  November (20)

About Me

My photo
View my complete profile

Travel theme. Powered by Blogger.