Friday, 4 March 2011

Ahadi za maisha bora Afrika ni kwa hawaSoma kisa hiki cha kusikitisha ambapo mtoto wa rais mwizi anamilki mali ambazo hata Barack Obama na ukoo wake wote hawawezi kumilki.

Ni kisa kirefu kinachohitaji kusomwa ili kujua jinsi watawala wetu walivyo wala watu.Sababu ya jamaa huyo hapo juu kuwa tajiri na waziri ni moja tu- baba yake ni rais.

Kwa wanaofuatilia blog hii watakumbuka kisa cha January Makamba kushangaa alivyoukwaa ubunge na anavyoutumia kuitetea Dowans badala ya wapiga kura. Kusoma kisa chote, tafhali. Bofya hapa

No comments: