Sunday, 6 March 2011

Hivi hapa nani anafanana na Savimbi?

Nimesoma habari ya ajabu kwenye gazeti la Serikali ambapo mlevi mmoja wa madaraka John Chiligati amemlinganisha katibu mkuu wa CHADEMA, Wibrod Slaa na gaidi wa Angola Jonas Savimbi. Kwa habari zaidi, Bofya hapa

2 comments:

Malkiory Matiya said...

Kifo cha CCM kitatokana na hawa wanajeshi wastaafu, yaani Chiligati, Makamba na Kikwete. Pengine Chiligati alipaswa kumwita Slaa Savimbi wa Ufisadi.

NN Mhango said...

Usemayo ni kweli. Hata hivyo, kwanini kutumia maneno negative wakati kuna positive? Kwangu Slaa ni shujaa dhidi ya ufisadi na wala siwezi kuingia mtego kumuita gaidi sawa na ninavyowaita hawa mafisadi mafisadi.Kama kuna wanaopaswa kuitwa magaidi si wengine bali CCM wenyewe ambao wana-terrorize watu wetu kwa mgao, ufisadi na usanii.