Wednesday, 16 March 2011

Dakta, Kanali, Kapteni Rubani Jakaya Kikwete


Baada ya kuchoka shahada za ubwete, sasa rais Jakaya Kikwete amejiongezea elimu nyingine-urubani.Sijui wale waliozoea kumwita Daktari watanza kumuita dakta rubani JK? Picha hii nimeipata kupitia Jamii Forums. Hata kama ni utani, kuna ukweli kuhusiana na uzembe wa serikali ya Kikwete na milipuko ya mara kwa mara ya mabomu yawe ya silaha au ufisadi. Je hii imekaaje?

5 comments:

Jaribu said...

That cracked me up! Naona kuna macomedian wa nguvu siku hizi!

Mcharia said...

Ha! ha! haaa!

kweli nimeongeza siku za kuishi kwa kucheka.

Jamaa anapenda game ee...!!

LNFAW said...

http://lnfaw.blogspot.com/

Jaribu said...

LNFAW

Not everyone can read gibberish, I mean, Russian.

NN Mhango said...

You are right Jaribu. Some punks jump onto others' blog to gain popularity without toiling for it. LFAW stop your stupidity.