Friday, 25 March 2011

Serikali ya Kanada yaangushwa kwa kudanganyaSerikali ya kihafidhina ya wachache ya Kanada ikiongozwa na waziri mkuu Stephen Harper imedondoshwa leo. Kosa lake kubwa uongo kwa umma na bunge. Kiongozi wa upinzani Michael Ignatieff aliitisha kura ya kutokuwa na imani na serikali na kuungwa mkono kati ya wabunge 156-145 hivyo kuashiria kutoungwa mkono kwa serikali. Hivi karibuni baadhi ya wakubwa wa chama cha Conservative cha Harper walikabiliwa na shutuma mbali mbali za hongo, uongo na usiri kiasi cha serikali kupoteza mvuto. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA

No comments: