Friday, 4 March 2011

Kumbe tumeishafika Tahrir sema hatujui tu!Hizi ni picha za nyomi ya CHADEMa kule Katoro eneo dogo tu! Jamani tunangoja nini kwenda kumtimua Mubarak wetu? Saa ya Ukombozi ni sasa. Jamani hakuna haja ya kulalamika wakati uwezo, nia, kasi, ari, nguvu na sababu tunavyo.

Tusiogope chochote. Maana hata Njaa Kaya mwenyewe keshatishika kiasi cha kulalamika. Hawezi kutufanya kitu kwa kuogopa Luis Moreno-Ocampo kiboko ya watawala wapuuzi.

No comments: