Picha ya pili licha ya kuonekana kwenye Jamii Forums nilitumiwa na mtani wangu akitaka mawazo yangu. Ujumbe wake ulikuwa wa kuchekesha kiasi cha kufanya nipate kichwa hicho cha habari. Leo nimeamua kuandika utani kwa kujiburudisha nikiamini nitawaburudisha wasomaji wangu. When you see a camel donned in western fashion believe me change is coming. Je kondoo angevishwa kanzu ingekuwaje?
1 comment:
Kanzu ipi unayosema wewe ile ya mapadri kama ya desmon tuta? au kadinali utunga maana wote wanava kanzu hao
Post a Comment