Thursday, 14 March 2013

Pinda: Huu uvaaji gani wa pete?

pinda121Watawala wetu hawaishi vituko. Noana mtoto wa mkulima asiye mkulima ametoka na mpya kwenye pete utadhani mwanamke!

2 comments:

Jaribu said...

Yeye ni kweli mtoto wa mkulima, pete mbili kidole kimoja, saa yenye mkanda unaopwaya, macho mekundu kama anapikia mafiga ndani; unless seasonal allergies ndio zinamwivisha macho.

Shida ni kwamba anapenda bling-bling lakini hajui ku-accessorize. Anahitaji shoga mmoja ampe tips za kupangilia accoutrement.

Anonymous said...

hahahahahahahahah hiyo kali tumpe jina I choose PINDALICIOUS!! Huu ushamba mwingine bwana...badala ya kuiga mambo ya kusaidia wananchi ni ujinga tu!!!!