Saturday, 24 January 2015

Nenda Muongo na uongo wakoNenda Sospeter Muongo profesa wa hovyo,
Nenda kaongee uongo wako na profesa Anna Tibaijuka
Nenda usiangalie nyuma 
Nenda kwa James Rugemalayer na Tibaijuka
Nenda mpange dili jingine
Au nenda kaongee na Kikwete mshirika wako
Nenda atakupa kazi huenda ubalozi Umoja wa Mataifa
Nenda Muongo Nenda
Tokomea mwana kutokomea
Ila wakati ukienda na kutokomea
Usikose kukumbuka
Siku moja wewe na wenzako mtanyea debe

No comments: