Monday, 23 February 2015

Hii nayo imekaaje?
Inaonekana rais Jakaya Kikwete anazidi kuendelea kufungwa mdomo. Maana haongelei lolote kuhusiana na matatizo ya nchi kama vile kuletwa kwa upuuzi unaoitwa sera mpya ya elimu ambayo ni mauti kwa taifa letu. Inaonekana jamaa kachoka akingoja amalize ngwe yake na kutokomea atokomeako.

2 comments:

Anonymous said...

Ana PHD kibao kuliko marais wote duniani anasuburi na Watanzania wapate PHD kama zake

NN Mhango said...

PhD zake nadhani ni Permanent Hooliganism of Danganyika.