Saturday, 14 February 2015

Kumbe ndiyo maana uongoziu umegeuka almasi siyo!


Mnapokuwa na viongozi walafi na wachovyo hivi unategemea nini? Hata hivyo, hata wachungaji siku hizi wamebadilika. Wapo wanaokula kondoo wa bwana. Wapo fisi wengi waliovaa ngozi ya kondoo wakivaa majoho ya uaskofu na vyeo vingine vya kitukufu wakati ni wachunaji, matapeli, washirikina, wezi, wazinzi wakubwa tu. Je utawajuaje? Angalia ukwasi wao na wale wanaoandamana nao. Viongozi mbwa mwitu na fisi ndiyo wengi kuanzia waliopo sasa hata wajao. Ni bahati mbaya.

No comments: