Saturday, 14 February 2015

Yuko wapi Rahma Kharoos malkia wa Bongo?


Hii manzi ya bwana mkubwa kiranja imefichwa wapi siku hizi? Tuliiandama hadi ujumbe ukafika? Au ndiyo mambo ya Dubai?  Hakika Rahma Kharoos alitingisha kabla hatujamgutukia hadi akatimua mbio.

4 comments:

Anonymous said...

Oops yupo Dubai tumekwisha

NN Mhango said...

Yale yale lazima awepo mtu wa kupokea njuluku zinazotoroshwa Bongo. Hii ni kuonyesha kuwa kila kitu kinajulika.

Anonymous said...

wacheni ujinga huo umemwadama mwisho uka shusha silaha chini
kuwa MPIGANAJI WA KWELI

NN Mhango said...

Anonymous unamaanisha nini? Sema usikike kwa lugha rahisi na inayoeleweka.