Saturday, 12 September 2015

Mgombea urais yuko wapi hapa?

Chama cha ACT-Wazalendo kina vituko. Kwenye bango hili hapa badala ya kuweka picha ya mgombea urais inawekwa picha ya kiongozi wake mkuu. Je hii ni aina ya demokrasia au uimla wa kidemokrasia au kutafuta umaarufu.

No comments: