Friday, 25 September 2015

Sijui kwanini wimbo huu umepigwa marufuku Tanzania


2 comments:

Anonymous said...

wanasema sababu ni maelezo yake hayana ukweli, tena kwa mimi nasema hivi kutokana na maelezo kwa wale waliofungia huu wimbo ni kwamba wamezoea kwenda kwa karumangila ndipo wanapopata ushaihidi!!

NN Mhango said...

Anon nimependa jinsi ulivyowaelezea kuhusiana na kupata ushahidi. Nadhani mwanamuziki amesema ukweli unaotafautina na "ukweli" wa wenye madaraka. Hilo ndilo kosa kubwa alilotenda msanii.