Friday, 19 September 2014

Picha ya wiki

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

sasa hapo vipi? huyo mbwa kichaa au? sijaipata vizuri hii picha

Anonymous said...

Wenye mtutu anapopambana na mwenye kalamu...Patamu hapo!! Isipokuwa kalamu inaleta maandishi yanakwenda maktaba kwa ajili ya Binadamu kulisha ya ubongo wake hasa kwa wale wanaopenda kujisomea ili kupambana na mazingira yake kwa vizazi na vizazi vijavyo!

NN Mhango said...

Da Yacinta huyo mbwa si kichaa. Kichaa ni yule anayemwamuru awang'ate watu wasio na hatia.
Anon umemena vyema kalama ni silaha bora kuliko bunduki kwani huneemesha ubongo wakati bunduki hubomoa na kuteketeza uhai.