Sunday, 2 November 2014

Polisi wanavyoshabikia hongo ya fisadi

IGP wa zamani Philemon Mgaya akiteta na fisadi jingine la IPTL James Rugemalira kwenye maadhimisho ya kutimiza miaka 85. Hii maana yake ni kwamba hawa jamaa ni marafiki wa muda mrefu na wameishawekwa mfukoni zamani. Ni hatari kwa taifa kuwa na viongozi vipofu na waroho kama hawa.
Pichani IGP mstaafu Saidi Mwema na vigogo wengine wakifurahia cheki toka kwa fisadi wa IPTL Harbinder Singh Seth. Je namna hii watashindwa kufua nepi za mafisadi kama walivyozoea kutokana na kuendekeza njaa na kufikiri kwa matumbo badala ya ubongo?

2 comments:

Anonymous said...

Bongo Hakuna Watu wenge ghadhadu mafisadi hawa wanatanua
Uwa wote hawa tena kwa mapanga

NN Mhango said...

Anon nakubaliana nawe mia kwa mia. Siku ambapo tutajitambua na kuwatia kibiriti hawa majambazi nadhani tutajikomboa.