Sunday, 16 November 2014

Hii ngoma vipi?


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ngoma kama hizi huwa nazipenda sana nimesikiliza zaidi ya mara kumi sielewi wanasema nini ila napenda sana....Ahsante!!

NN Mhango said...

Da Yasinta, nimefurahi kusikia kuwa kumbe hii kitu imekuburudisha. Nitajitahidi kuweka kila nikizipata.Zinafurahisha hasa kwa mtu anayejua Kikikuyu. Ni wega au asante kwa Kiswahili.