Sunday, 15 March 2015

Mkiwa na rais wa hovyo kama huyu hamuwezi kuendelea

Rais anapopoteza muda kutaka ujiko eti kwenda kununua samaki huku akitoa vijifedha kidogo kwa wananchi wakati akisimamia wizi wa mabilioni. Nenda chuo ukatoe mhadhara badala ya mambo ya kununua samaki ambayo anaweza kufanya mkeo na wasaidizi wake au ni kutafuta umaarufu wa shilingi mbili? Toa maelezo jinsi unavyoshughulikia mafisadi badala ya kuwahonga senti kumi kumi, hazimalizi matatizo yao. Usanii mwingine hauingii hata akilini. Kwanini hamuwi wakweli kwa nafsi zenu. Kama mnajifanya hamuwaogopi wananchi hao ma body guards wa nini? Toka bila maandalizi uone watakavyoku-Gaddafi.

6 comments:

Anonymous said...

Tena Rais mpuuzi sana. Ameharibu nchi kabisa. Sijui lini haya mambo ya kupeana madaraka yataisha, ili Tanzania ipate Rais msomi mwenye uchungubns nchi yake

NN Mhango said...

Anon umesema bila kumung'unya maneno.Napenda ujasiri na uthubutu huu kuita koleo koleo badala ya kijiko kikubwa. Wahusika wanatapata salamu zao maana huwa wanapita kama si wao watu wao.

Anonymous said...

Mulikua munataka afanye nini akuleteeeni nyumbani hao samaki nyie kwa bure bana ngoja amalize wakati wake ndio mtamkumbuka

NN Mhango said...

Anon, jitahidi siku nyingine uelewe hoja badala ya kuonyesha ujuha na kiherehere cha kutetea upuuzi. Mnatumwa au mnajituma kama si kujikomba? Acha rais ajibu mwenyewe.

Anonymous said...

Wa Tanzania bado sana kuelewaresponsibilities za Rais wao. Yani wanafiri kuwa Rais aki pretend kuwanunulia samaki ndio anawapenda, why asibadilishe systems kwa kuongeza ajira kila mtu aweze kujinunulia samaki. Hao watu wauza samaki wasingeona umuhimu wa Rais, kujinunulisha samaki.
Rais hafikirii kuongeza ajira, sana sana anatujazia vihiyo kwenye uongozi wake

NN Mhango said...

Anon usemayo ni kweli. Badala ya kuwanunuza au kuwapa vijirushwa lau angeeleza anavyopambana na escrow na madude mengine kama hayo. Ni janga kuwa na rahisi kama huyu.