The Chant of Savant

Saturday 7 March 2015

Anachapa kazi au kutafuta ujiko, kwani lazima ukifanya kazi upigwe picha?

5 comments:

Anonymous said...

duhh huyu bana ni mchapa kazi yaani anaonyesha kwa vitendo sio domo tupu kama wengine asanta kinana
huyu ni mpigananji bana

Anonymous said...

anataka sifa huyu aise sifa ndio zake na porojo tupu

Yasinta Ngonyani said...

Labda anataka kuonekana??:-)

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon wa kwanza afadhali ungetafuta la kusema siyo kusifia mpigwa picha au mchapa picha kama mchapakazi, angekuwa mchapakazi basi angejibu tuhuma dhidi yake za kusafirisha nyara za taifa au kumshauri bosi wake Jakaya Kikwete kuacha kulindana na kuvurunga. Kwa anon wa pili usemayo nakubaliana nayo na Da Yasinta ni kweli jamaa anataka cheap popularity au sifa uchwara za bei nafuu kupitia photo shopping.

Anonymous said...

Huyo ni ulaghai!