Monday, 9 March 2015

Baada ya kubakwa akiwa mdogo akua na kutengeza chupi na gagulo la chuma

  • PHOTOS. En Afghanistan, la jeune artiste Kubra Khademi enfile une ...

    • armatura Kubra Khademi 5

    Kubra Khademi wa Afghanistan amweaacha wengi hoi kwa kuja na vazi la ajabu kidogo. Aliamua kulivaa vazi hili na akaandamana mitaani jambo lililowaudhi wabakaji na wababa wengi kiasi cha kumtishia kifo. Mji wa Kabul unafahamika kwa ufska wake kiasi cha kuwapo na msemo kuwa hata ndege akiruka juu ya mji huo hufunika makalio yake kwa bawa moja ili asibakwe. Huyu ndiye Kubra Khademi.

2 comments:

Anonymous said...

utafiti sio wa kweli mji wa ufuska huujuwi wewe na upo huko?fanya utafiti sio kuropokwa kama zuwardi

NN Mhango said...

Anonymous,
Shukrani. Nangoja kusoma utafiti wako ili nione kilichomo.