Wednesday, 11 March 2015

Usanii wa CCM na Kinana

http://4.bp.blogspot.com/-O8RDkwY18XU/VP9TO7roj-I/AAAAAAAC1X4/C-IroFXBuHk/s1600/2.jpg
Sijui kama wakulima au fundi mchundo wetu wanaupara hivi wakiwa kazini. Hakika hapa ndipo unajua kuwa anachofanya katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ni usanii wa kizamani. Je umma utamstukia na kukipiga chini kigenge chake cha ulaji kilichozamisha nchi kwenye umaskini na majanga ya kutengenezwa na utawala mbovu na wa kifisadi? Yetu macho. Ila wananchi wanapaswa kuwa macho zaidi.

2 comments:

Anonymous said...

Huyu mzee huwa ananichekesha sana, yaani anaona watanzania ni mafala sana. Sijui ni nani kamdanganya hizi mbinu za kizamani zitafanya kazi.
Ukikaa na watu wa vijijini wanasema wazi kula wata kula vya sisiemu, ila uchaguzi wasahau.
Tehehehtete, maigizo yake bwana huwa yana nivunja mbavu kinoma, mara eti anaonekana anachimba mtaro, mara anamwagilia nyanya, mara anakula kwa mama lishe.
Haya maigizo muda wake ulishaisha, ajasoma tu alama za nyakati. Haki ya nani kama si kuweka mapingamizi na vituko vyao, ule uchaguzi wa serekali za mitaa hawa jamaa walikuwa wameangukia pua.

NN Mhango said...

Anon umesema vema sema huna haja ya kushangaa kuwadhania watanzania mafala. Sijui kama mbantu angepewa cheo na ulaji kama huu huko kwao kwa waswahili wabaguzi wanaojiona waarabu wakakati ni wamatumbi wa kawaida. Hapa wa kulaumu si Kinana bali wapumbavu waliompa huo ulaji wakati hafai hata kuwa mpishi wa kiongozi yeyote. Huyu alifaa awe haramia baharini lakini si kiongozi. Umesahau ya jambazi mwingine Gulamali au Rostam Aziz na maponjoro wengi waliojaa nchini wakati wanatubagua kama kiongozi wao Gandhi aliyekuwa akiwaita wazulu Kaffirs?