Monday, 2 March 2015

Nimegundua kwanini tuna maprofesa kama Tibaijuka Maji Marefu na Kikwete

Peter Msigwa wa Iringa Mjini (CHADEMA) amenifumbua macho ni kwanini taifa letu lina vihiyo wanaoitwa profesa na waheshimiwa. 

3 comments:

Anonymous said...

Tunahitaji wabunge 20 tuu wa namna hii. Kuanzia tutaondoa haya matongotongo yanayotusumbua na kuleta vikwazo vya kuendelea kichumi na kifikra pia

Anonymous said...

Tunahitaji wabunge 20 tuu wa namna hii. Kuanzia tutaondoa haya matongotongo yanayotusumbua na kuondoa vikwazo(Mh=mhalifu) vya kuendelea kichumi na kifikra pia

NN Mhango said...

Anon,
Usemayo ni kweli. Jamaa anamwaga pointi kuliko maprofesa uchwara kama Kapuya, Muongo, Maghembe, na madaktari wengine feki kama Nagu, Makongoro, Nchimbi na matapeli wengine