Tuesday, 17 March 2015

When RC Mahiza welcomes presidente Salma Kikwete

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akimpokea raisa Salma Kikwete alipokwenda kule kukagua shughuli za maendeleo ya utawala wake na mumewe. Nadhani ni Tanzania tu ambapo kulala kitanda kimoja na rais kunamfanya mhusika kuwa rais pia.

6 comments:

Anonymous said...

ULIKUA UNATAKA ALALE NA WEWE SEMA TUU HAKUNA TATIZO HAO WANARUHUSIWA WAKE 4 WEWE UTAENGEZA IDADI TUU

NN Mhango said...

Anon ni haki yako usemayo japo huwa sipendi matusi vinginevyo ningejibu kuwa ningetaka alale na mama yako au nawe kama ni jambo la maana.

Anonymous said...

Imetulia hiyo Bravo Mwalimu kwa jibu ulilompatia kwa annon!

NN Mhango said...

Anon shukrani. Wakati mwingine tunalazimika kufanya hivyo ili lau wahusika wapate elimu. Nilikuwa na uwezo wa kufuta comment yake lakini sikufanya hivyo kwa kuheshimu uhuru wake wa mawazo. Ila akiendelea na matusi ya nguoni naona nitakuwa mkali kidogo.

Anonymous said...

mbona unajibu matusi dr muhogo
wape uhulu wao bana

NN Mhango said...

Anon sijajibu tusi sema hujaelewa kuwa majibu ya swali hutegemeana na swali lilioulizwa. Mtu haweza kuuliza pumba ukategemea ajibiwe mchele ndugu yangu. Pia mimi si Dr Muhongo. Jina langu ni Mhango. Pamoja na wachangiaji wangu kuwa na uhuru, si busara kuacha utumike hovyo hovyo.