Friday, 5 April 2013

Ghorofa laporomoka na kuua Mumbai IndiaHivi majuzi Tanzania ilisifika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 kwenye mtaa wa Indira Gandhi. Hata maiti za wahanga hazijaoza, jengo jingine la ghorofa saba limeporomoka mjini Mumbai India na kuua watu wengi.
Je kuna uhusiano wa ujenzi baina ya Tanzania na India? Bila shaka hasa ikizingatiwa kuwa mmilki wa jengo la Indira Gandhi alikuwa mhindi. Hii maana yake ni kwamba tunaanza kuingiza biashara chafu toka India baada ya kuwaachia watu wenye asili ya huko kumilki karibu biashara zote wakiwemo viongozi wetu. 

1 comment:

Anonymous said...

Fikra za kimapinduzi hii inaonyesha upo uhusiano baina ya tz na india bora wahindi wafukuzwe kama uganda au
manake hapa tz ma enginers wote ni wahindi na mwenye hilo jumba ni muhind na walojenga ni wahind na walotowa kibali cha kujengwa ni wahindi.bora waondoshwe wahindi kabla jumba jengine kuporomoka