Thursday, 11 April 2013

Kumbe sidiria hasaidii manyonyo kuinuka!

Watafiti nchini Ufaransa wamekuja na mpya baada ya kugundua kuwa kumbe imani kuwa kuvaa sidiria zenye kubana manyonyo zinayafanya yasianguke. Utafiti ulichapishwa hivi karibuni umeonyesha matokeo kinyume kiasi cha kushawishika kuwa watengeneza hizi chupi za maziwa kuna siku watajikuta hawana wateja hasa baada ya wanawake wa kimarekani kuujua ukweli. Najua hata waswahili wameingia kwenye mkumbo  huu wa kutotaka manyonyo yao yaanguke ingawa hili ni suala la kimaumbile. Kama viungo vingine vinazeeka kwanini manyonyo yasifanye hivyo? Simple logic if we allow our brain to think. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! kaaazi kwelikweli huyo inaonekana amenunua si saizi yake:-)