Thursday, 4 April 2013

Jana nilikumbuka zama za Harare Zimba-za-mabwe miaka ya 94

Nilijikuta nikiwakumbuka Sungura Boys, Nyami Nyami, John Chibadura, Leonard Dembo, Tongai Moyo, Zhakata, System Tazvida na wengine. Acha nikuache na mkongwe kidevu Nicolas Zakaria, Alick Macheso na ngoma yake poa ya Tsamba. Mkipiga  Pantsula na kulichanganya na sungura kupata Musoro wa Nyoka mkumbuke Avondale, Borrowdale kwa wanene na kwingineko jijini Harare binti Harara. Jumuikeni basi na kuserebuka na kitu cha Zaka Zaka.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Bahati mbaya nimeshindwa kusikiliza ila ntatafuta njia ili niweza kusikiliza...

Yasinta Ngonyani said...

chenjelayi....oh oh kuzizi..mmmh kweli sasa nakuelewa..hapa sasa mpaka asubuhi na hivi Ijumaa leo..miziki ya zamani ni kiboko

NN Mhango said...

Pole sana dada Yacinta. Muhimu chukua hiyo link utapata kila kitu youtube au vipi?
Nasdhani huko sasa winter ni historia. Sisi si haba baridi inapungua sema tunaweza kufurishwa na theluji iliyojaa kupita kiasi.
Muziki wakanaka!