Friday, 12 April 2013

Mfalme, mwana wa mfalme na malkia wanapohudhuria kuapishwa mwana wa mfalme mwingine!


Mfalme Jakaya Kikwete, Prince Ridhiwan Kikwete na Malkia Salma Kikwete walipohudhuria sherehe za kuapishwa mwana mwingine wa mfalme  Uhuru Kenyatta kule Kenya (pichani). Ajabu Ridhiwan anasimama safu ya mbele huku watumishi wa baba yake waitwao mawaziri wakifyata mikia nyuma yao! Jamani hii ni itifaki gani kama siyo kuendekeza utawala wa familia? (Picha kwa hisani ya Michuzi blog).

2 comments:

Jaribu said...

Ndio mwanzo wa Kikwete dynasty. Sijui kama tunaweza kuepuka hii legacy ya mediocrity, incompetence and grand lacerny!

NN Mhango said...

Jaribu,hata hivyo anatutia aibu so to speak. Sijui hawa wanaomshauri wana akili ndogo kiasi gani ukiachia zake.