Saturday, 13 April 2013

Hii ni miujiza kwa wasafiri wa anga


Ajali mbili za anga katika nchi na mabara tofauti zinafanana kwa kitu kimoja au viwili  hata zaidi. Kwanza, katika ajali hizi abiria wote walitoka salama. Pili, ndege zote ziliishia majini. Tofauti ni kwamba ndege ya kwanza ya Lion Air ambayo ilipata ajali jana ilianguka baada ya kuvuka uwaja wakati ndege ya pili ya US Airways ilianguka baada ya kushindwa kufika uwanjani. Kwa ufupi ni kwamba ajali hizi mbili zimeacha simulizi hasa baada ya kutua majini na kuepusha vifo vya abiria. Mungu siku zote ni mkubwa. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA na HAPA.

No comments: