Tuesday, 23 April 2013

Nimemkumbuka Leonard Dembo "Musoro we Nyoka"

Wapenzi wa Sungura hebu tujumuike pamoja kwenye kitu shiri ya  Kangwara Toka kwa Marehemu  Kwangwari Gwaindepi au Leonard Dembo mwanamuziki ambaye viatu vyake havijawahi kuvaliwa na yeyote nchini Zimba.

No comments: